TBS YAWATAKA WADAU KUSHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA UANDAAJI VIWANGO
Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Profesa Othman Chande Othman amesema Tanzania ipo vizuri kwenye masuala ya viwango ambapo...
PROGRAM YA STAWISHI MAISHA YAZINDULIWA RASMI MKURANGA ILI KUPAMBANA NA UTAPIAMLO
Programu ya Stawishi Maisha, inayosimamiwa na Serikali ya Tanzania kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa kushirikiana na UNICEF, imezinduliwa rasmi katika Kijiji...
KAMATI YA VIJANA WAZALENDO KUJADILI SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA KWA MAKONGAMANO...
Mikoa kumi kufikishiwa mahudhui ya sera ya taifa ya maendeleo ya vijana (2007) toleo la mwaka 2024 kwa awamu ya kwanza kupitia kamati ya...
NI DHAMIRA YA SERIKALI KULIPA FIDIA WANANCHI WANAOPISHA MIRADI YA MAENDELEO- MHE. KAPINGA
📌 Ataja fidia iliyolipwa kwa baadhi ya miradi ya umeme
📌 Aeleza mipango ya ujenzi wa vituo vya kujazia gesi kwenye magari (CNG)
Naibu Waziri Nishati,...
MAADHIMISHO YA MIAKA 101 YA JAMHURI YA UTURUKI, TANZANIA YAJIVUNIA
• Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki yazidi kuimarika
Na Happiness Shayo-Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema...