DC SAME AMEAGIZA SERIKALI YA KATA KIRANGARE KUMALIZA MGOGORO WA MIPAKA YA VIJIJI
Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni ameagiza Serikali ya Kata ya Kirangare kushirikiana na Wakazi wa Kijiji cha Kirangare na Makasa...