TAMASHA LA SAMIA FASHION FESTIVE KULETA FURSA KWA WABUNIFI MAVAZI
Na Magrethy KatenguDar es salaam
Wabunifu wa mavazi nchini wameshauriwa kutumia fursa zinazojitokeza kuonesha kazi zao wanazozifanya ili waweze kujulikana na kuinuka kiuchumi.
Ushauri huo umetolewa...