ZAIDI YA WATU MIL 1.2 WANATARAJIA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA MKOANI PWANI...
Mkoa wa Pwani unatarajia kuandikisha zaidi ya watu milioni 1.2 kwenye daftari la wapiga kura, zoezi ambalo limeanza rasmi Oktoba 11 na linatarajiwa kukamilika...
DC SUMAYE AONGOZA WANANCHI KATIKA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA
Na Ashrack Miraji
MKUU wa Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga Zephania Sumaye amesema zoezi la undikishaji wananchi kwenye daftari la makazi linaendelea vizuri, wananchi wamehamasika...
DC SAME AONGOZA WANANCHI KATIKA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA MAKAZI
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amesema zoezi la Undikishaji Wananchi kwenye Daftari la Mkazi linaendelea...