ZOEZI LA SENSA YA WANYAMAPORI LAZINDULIWA RASMI LEO MKOANI MOROGORO
Na Happiness Shayo-Morogoro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amezindua rasmi zoezi la Sensa ya Wanyamapori lengo ikiwa ni kuhesabu Wanyamapori...
NATAKA MUSOMA YA KAZI,MAZOEZI,MICHEZO NA KULA BATA ” DC CHIKOKA”
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Wilaya ya Musoma Juma Chikoka amesema anataka Musoma iwe ya kufanya kazi,mazoezi na michezo na kupata burudani ya starehe.
Kauli hiyo...