WAKUU WA HIFADHI WATAKIWA KUELIMISHA WANANCHI JUU YA UHIFADHI
Na Happiness Shayo-TABORA
Wakuu wa Hifadhi nchini wametakiwa kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa uhifadhi kwa lengo la kuendeleza Sekta ya Maliasili na Utalii sambamba na...
SITA MATATANI MADAI KUICHOMA FAMILIA
Na Boniface Gideon, TANGA
JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga limesema linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya watu watatu wa familia moja yaliyotokea...
DC KUBECHA; WANANCHI JITOKEZENI KUSHIRIKI UCHAGUZI S/MITAA.
Na Boniface Gideon, TANGA
Mkuu wa wilaya ya Tanga Japhari kubecha amewataka wananchi wa jiji la Tanga kujitokeza kwa wingi wakati wa zoezi la uchaguzi...
WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA
Na Happiness Shayo-TABORA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika...
KATIBU CCM MARA AFUNGUA KAMBI YA MAFUNZO YA VIJANA UVCCM NA KUTOA UJUMBE
Na Shomari Binda-Butiama
KATIBU wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) mkoa wa Mara Ibrahim Mjanakheri amewataka vijana kujiepusha na wale waotaka kuwatumia vibaya kuvuruga amani...