Sunday, December 22, 2024
Home 2024 September

Monthly Archives: September 2024

TANROADS YATANGAZA TENDA KILOMITA 40 MUENDELEZO UJENZI BARABARA YA MUSOMA-MAKOJO-BUSEKERA

0
Na Shomari Binda-Musoma SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara nchini ( TANROADS ) imetangaza tenda ya muendelezo wa ujenzi wa barabara ya Musoma-Makojo-Busekera yenye jumla ya...

MWIGOBERO FC YATINGA NUSU FAINALI POLISI JAMII CUP MUSOMA KWA KISHINDO

0
Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Mwigobero fc imetinga hatua ya nusu fainali kwa kishindo baada ya kuifunga timu ya Musoma Boys mabao 5-1 kwenye mfululizo...

TIGO ZANTEL WASHIRIKIANA NA SERIKALI YA ZANZIBAR KUFANYA MAPINDUZI HAYA MAKUBWA YA KIDIGITALI

0
Na Mwandishi Wetu Zanzibar, 19 Septemba 2024 — Katika hatua muhimu kuelekea kuboresha utawala wa kidigitali, Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ) kwa kushirikiana na...

DC KUBECHA AMALIZA MGOMO WA DALADALA MWAHAKO, MKOANI TANGA

0
Na Ashrack Miraji (Tanga) Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Japhari Kubecha, leo Septemba 19, 2024 amemaliza mgomo wa daladala zinazofanya safari kati ya Chalinze,...

RC MTAMBI AAGIZA WANAFUNZI WOTE WANAPATA CHAKULA SHULENI IFIKAPO JANUARI 2025

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameagiza wanafunzi wote wanapata chakula shuleni ifikapo januari 2025. Kauli hiyo ameitoa leo septemba 19...

WALIOKIMBIA SOKO NA KUVAMIA ENEO LA BARABARA YA TANROADS MARA WATAKIWA KUONDOSHWA

0
Na Shomari Binda-Musoma WAFANYABIASHARA wa soko la Nyamatare lililopo manispaa ya Musoma wamemuomba mkuu wa Wilaya ya Musoma Juma Chikoka kuwaondosha wafanyabiashara wanaofanya biashara nje...

TAMASHA LA USAMBARA TOURISM FESTIVAL LITUMIKE KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA...

0
Ashrack Miraji Lushoto Tanga MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Dkt. Batilda Buriani...

UKIFANYA MAKOSA HAYA WAKATI WA UCHAGUZI UTAKIONA CHAMOTO.

0
Na Boniface Gideon, TANGA Serikali imeweka bayana makosa ya kuepuka,mchakato wa kushiriki zoezi la kupigaji kura, uchaguzi Serikali za mitaa. Huku ikitahadharisha wenye tabia ya kujiandikisha...

WAFANYAKAZI WA TANESCO PWANI WAFANYA BONANZA LA MICHEZO, WAPONGEZANA KWA KAZI

0
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO mkoa wa Pwani wamefanya bonanza la michezo mbalimbali ikiwa ni kwa lengo la kupongezana kwa kazi, burudani...

GERSON MSIGWA AZIAGIZA TAASISI ZA SERIKALI KUIGA MFANO KWA TBS , VIWANGO SPORTS BONANZA...

0
Na Adery MastaSHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limefanya Bonanza lake la TANO la Michezo maarufu kama VIWANGO SPORTS BONANZA kwa wafanyakazi wa shirika hilo...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma September 2024,
Karibu Tukuhudumie..