REA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJI 135 MKOANI PWANI,KWA GHARAMA YA BIL 14.9
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umeanza usambazaji wa umeme katika vitongoji awamu ya pili (HEP II) ambapo utapeleka umeme kwenye vitongoji 135 kwenye majimbo...
MSHIKAMANO FC YATINGA FAINALI POLISI JAMII CUP 2024 MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya Mshikamano fc imetinga fainali ya michuano ya Polisi Jamii Cup 2024 Musoma kwa kuifunga timu ya Kigera fc kwa changamoto...
DC SAME AELEZA JITIHADA ZA KUENDELEZA UTALII NA UHIFADHI
Na Ashrack Miraji Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda J. Mgeni, amefungua milango ya maendeleo ya utalii kwa kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara...
KIGERA FC,MWIGOERO FC,MARA SPORTS NA MSHIKAMANO FC ZAFUZU NUSU FAINALI POLISI JAMII CUP 2024...
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU 4 za Kigera rc,Mwigobero fc,Mara Sports na Mshikamano fc zimefuzu hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Polisi Jamii Cup 2024...
RC MTAMBI AWATAKA WANANCHI KUJIANDAA USHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Alfred Mtambi amewataka wananchi kujiandaa na ushiriki wa uchaguzi wa serikali za mitaa
Kauli hiyo ameitoa...
TANZANIA KUIMALISHA ZAIDI USALAMA WA USAFIRI KWA NJIA YA MAJI KUINUA UCHUMI
Na Shomari Binda-Musoma
TANZANIA imekusudia kuimalisha zaidi usalama wakati wa matumizi ya usafiri majini kwenye bahari na ziwa.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na...
WAZIRI MKUU MSTAAFU JOHN MALECELA NA MBUNGE WA JIMBO LA SAME MASHARIKI WAFANYA ZIARA...
Na Dickson Mnzava, Same.
Mhe Makamu mwenyekiti wa ccm Tanzania bara na Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Jonh Malecela mguu...
TANZANIA WENYEJI WA MICHUANO MIKUBWA YA MCHEZO WA CRICKET , TIMU MBILI KUFUZU KUSHIRIKI...
Na Mwandishi Wetu
MICHUANO ya mchezo wa Cricket ya kufuzu Kombe la Dunia la T20 kwa Wanaume, ICC Kanda A ya Afrika, inaendelea kutimua vumbi...
SHIRIKISHO LA BODABODA NA BAJAJI WATOA MSIMAMO “HATUTA SHIRIKI MAANDAMANO”
Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Nchini Tanzania leo Septemba 22, 2024 wametoa msimamo wa kutokushiriki maandamano ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Septemba 23,...
RAC TANGA BATILDA BURIHANI ATOA WITO KWA WAKAZI WA TANGA NA WANANCHI KUTEMBELEA VIVUTIO...
Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Batilda Burihani ametoa wito kwa wakazi Mkoani Tanga na watanzania kwa ujumla kujenga tabia...