Saturday, December 21, 2024
Home 2024 September

Monthly Archives: September 2024

Timu ya Neitboli ya Wizara ya Maliasi na Utalii Yafuzu Hatua ya Robo Fainali...

0
Na. John Bera, Morogoro Timu ya netiboli ya Wizara ya Maliasili na Utalii leo Septemba 27, 2024 imeandika historia kwa kufuzu kwa mara ya kwanza...

MAJI, UZIO BADO TATIZO JOKATE MWEGELO SEKONDARI

0
Kukosekana kwa chanzo cha uhakika cha Maji kimetajwa kuwa kero sugu inayoikabili shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jokate Mwegelo (Kisarawe) kufuatia ongezeko la...

SERIKALI YAKUBALI KUPANDISHA HADHI CHUO CHA VETA MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imekubali ombi la mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo kupandisha chuo cha...

NI MWENDO WA MAENDELEO TU,SAME MASHARIKI KUJENGWA SEKONDARI YA UFUNDI MBUNGE NA WANANCHI WA...

0
Na Dickson Mnzava, Same. Mbunge wa Jimbo la Same mashariki Mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Anne kilango Malecela ametoa shukrani zake kwa serikali ya awamu ya sita...

DC CHIKOKA AMSHUKURU RAIS DKT.SAMIA KULING’ARISHA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI KWA TAA ZA BARABARANI

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa Wilaya ya Musoma Juma Chikoka amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuling'arisha jimbo la Musoma vijijini kwa mwanga wa taa...

WATUMIAJI WA MTANDAO WA AIRTEL KUNUFAIKA HUDUMA MPYA.

0
Na Lookman Miraji. Kampuni ya mtandao wa mawasiliano nchini ya Airtel imezindua rasmi kampeni mpya ambayo itawanufaisha watumiaji wa mtandao huo hapa nchini. Kampeni hiyo ijulikanayo...

MBUNGE SAME MASHARIKI ANNA KILANGO ATOA MILIONI MOJA KUKAMILISHA UJENZI WA CHOO CHA WANAFUNZI...

0
na Dickson Mnzava, Same. Mbunge wa Jimbo la Same mashariki Anna kilango Malecela ametoa kiasi cha milioni moja kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa choo cha...

SERIKALI YAWEKA REKODI NYINGINE MPYA YA HUDUMA YA MAJI WANANCHI WATOA KONGOLE KWA MAMA...

0
Na Dickson Mnzava, Same. SHANGWE NDEREMO VYATAWALA KWA WANANCHI WA MROYO,KIZANGAZE KIJIJI CHA MPIRANI BAADA YA KUPATA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA. Zaidi ya wananchi...

MBUNGE WA LUSHOTO AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA AMBAO UNATARAJIA KUFANYIKA...

0
Na Ashrack Miraji, (Fullshangwe Media) Mbuge wa Jimbo la Lushoto Mhe Alhaj Shabani Omary Shekirindi amewasihi wananchi wa Jimbo hilo kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi wa...

KIKWETE AIPONGEZA TIMU YA SIMBA KWA KUINGIA HATUA YA MAKUNDI

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete awapongeza timu ya Simba kwa kuingia hatua ya makundi...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma September 2024,
Karibu Tukuhudumie..