KITUO CHA DHARURA ZIMAMOTO KUJENGWA SAME..
Na Ashrack Miraji Kilimanjaro
SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi ipo mbioni kuanza ujenzi wa vituo vya dharura vya zimamoto katika Wilaya...
MBUGE SHABANI SHEKIRINDI AWAONYA WANAOCHONGANISHA WANANCHI NA SERIKALI
Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga
MBUNGE wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Shabani Shekilindi ametoa onyo kwa watu ambao wanachonganisha wananchi na Serikali.
Shekilindi ametoa...
MRADI WA MAJI YA BOMBA WA KATA YA TEGERUKA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA...
Na Shomari Binda-Musoma
MRADI wa maji ya bomba kutoka ziwa victoria uliopo Kata ya Tegeruka jimbo la Musoma vijijini umeendelea kushika kasi kuweza kuukamilisha.
Kukamilika kwa...
VIONGOZI CCM MUSOMA WASHIRIKI ” JOGGING “ILIYOANDALIWA NA DC CHIKOKA
Na Shomari Binda-Musoma
VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya Musoma mjini wamekuwa miongoni mwa wananchi waliojitokeza kushiriki mazoezi ya" jogging" yaliyoandaliwa na mkuu wa Wilaya...