DC SAME AMEWAPONGEZA WAKAZI WA KATA YA MABILIONI KUMUUNGA MKONO MHE RAIS DKT SAMIA...
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same Kasilda Mgeni amewapongeza Wakazi wa Kitongoji cha Kiruwa kilichopo Kijiji cha Ruvu Mbuyuni Kata ya...
BAKHRESA NA EQUITY BENKI WAJA NA FURSA YA MIKOPO KWA WAFANYA BIASHARA
Na Mwandishi Wetu.
BENKI ya Equity imesema wafanyabiashara ambao wanatumia bidhaa za kampuni ya Bakhresa kwa sasa wanauwezo wa kupata MKOPO wa Bidhaa za UNGA...
DC CHIKOKA KUONGOZA “JOGGING” YA WANANCHI MUSOMA KUJENGA AFYA KESHO
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Wilaya ya Musoma Juma Chikoka kesho jumamosi septemba 28 ataongoza mbio za polepole" Jogging" ya kujenga afya kwa wananchi.
Mbio hizo...
Timu ya Neitboli ya Wizara ya Maliasi na Utalii Yafuzu Hatua ya Robo Fainali...
Na. John Bera, Morogoro
Timu ya netiboli ya Wizara ya Maliasili na Utalii leo Septemba 27, 2024 imeandika historia kwa kufuzu kwa mara ya kwanza...
MAJI, UZIO BADO TATIZO JOKATE MWEGELO SEKONDARI
Kukosekana kwa chanzo cha uhakika cha Maji kimetajwa kuwa kero sugu inayoikabili shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jokate Mwegelo (Kisarawe) kufuatia ongezeko la...
SERIKALI YAKUBALI KUPANDISHA HADHI CHUO CHA VETA MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imekubali ombi la mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo kupandisha chuo cha...
NI MWENDO WA MAENDELEO TU,SAME MASHARIKI KUJENGWA SEKONDARI YA UFUNDI MBUNGE NA WANANCHI WA...
Na Dickson Mnzava, Same.
Mbunge wa Jimbo la Same mashariki Mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Anne kilango Malecela ametoa shukrani zake kwa serikali ya awamu ya sita...
DC CHIKOKA AMSHUKURU RAIS DKT.SAMIA KULING’ARISHA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI KWA TAA ZA BARABARANI
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Wilaya ya Musoma Juma Chikoka amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuling'arisha jimbo la Musoma vijijini kwa mwanga wa taa...