Thursday, December 19, 2024
Home 2024 September 24

Daily Archives: September 24, 2024

KIGERA FC,MWIGOERO FC,MARA SPORTS NA MSHIKAMANO FC ZAFUZU NUSU FAINALI POLISI JAMII CUP 2024...

0
Na Shomari Binda-Musoma TIMU 4 za Kigera rc,Mwigobero fc,Mara Sports na Mshikamano fc zimefuzu hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Polisi Jamii Cup 2024...

RC MTAMBI AWATAKA WANANCHI KUJIANDAA USHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Alfred Mtambi amewataka wananchi kujiandaa na ushiriki wa uchaguzi wa serikali za mitaa Kauli hiyo ameitoa...

TANZANIA KUIMALISHA ZAIDI USALAMA WA USAFIRI KWA NJIA YA MAJI KUINUA UCHUMI

0
Na Shomari Binda-Musoma TANZANIA imekusudia kuimalisha zaidi usalama wakati wa matumizi ya usafiri majini kwenye bahari na ziwa. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na...

WAZIRI MKUU MSTAAFU JOHN MALECELA NA MBUNGE WA JIMBO LA SAME MASHARIKI WAFANYA ZIARA...

0
Na Dickson Mnzava, Same. Mhe Makamu mwenyekiti wa ccm Tanzania bara na Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Jonh Malecela mguu...

TANZANIA WENYEJI WA MICHUANO MIKUBWA YA MCHEZO WA CRICKET , TIMU MBILI KUFUZU KUSHIRIKI...

0
Na Mwandishi Wetu MICHUANO ya mchezo wa Cricket ya kufuzu Kombe la Dunia la T20 kwa Wanaume, ICC Kanda A ya Afrika, inaendelea kutimua vumbi...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma September 24, 2024,
Karibu Tukuhudumie..