WIZARA YA MADINI KUIBUKA NA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni mbalimbali za uchimbaji na uchakataji madini inatarajia kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati itakayohusisha mnyororo mzima katika Sekta...
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA ELIMU WA EAC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Jumuiya ya Afrika Mashariki inaweza kutumia vema idadi kubwa ya...
VIONGOZI WA DINI MARA WARIDHIA KUSHIRIKIANA NA TAKUKURU KUPINGA RUSHWA KWENYE UCHAGUZI
Na Shomari Binda-Musoma
VIONGOZI wa dini mkoa wa Mara kupitia kamati ya amani na maridhiano wamesema wapo tayari kushirikiana na taasisi ya Kuzuia na Kupambana...
MKUU WA MKOA WA MARA ATOA WIKI SITA KWA MKURUGEZI SERENGETI
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanal Evans Alfred Mtambi ametoa wiki Sita kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kukamilisha Bweni la wanafunzi...
KIGOMA MIONGONI MWA MIKOA INAYOLEGALEGA KATIKA MIRADI YA MAENDELEO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa ameitaja Kigoma kuwa miongoni mwa mikoa inayolegalega katika utekelezaji...
ASASI ZA KIRAIA ZAOMBA SERIKALI IANGAZIE USHIRIKI WA MAKUNDI MAALUM KATIKA MIUNDOMBINU YA KIDIGITALI
Asasi za kiraia nchini, kupitia Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), zimesisitiza umuhimu wa Serikali kuwezesha makundi maalum kufikia miundombinu ya kidigitali...
TANZANIA TUNA ZIADA YA MCHELE TANI MILIONI 1.6 – BARAZA LA MCHELE
Tanzania tuna ziiada ya Mchele tani zaidi ya milioni 1.6 baada ya kujitosheleza mahitaji ya nchi kwa chakula kwamujibu wa takwimu za uzalishaji wa...
JAFO AAGIZA UKAGUZI WA MAKAMPUNI YA KIGENI YALIYOUNGANA NA KAMPUNI ZA NDANI
Na Ritha Jacob - Dar es salaam
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Seleman Jafo, ameagiza Tume ya Ushindani (FCC) kufanya ukaguzi wa kampuni za...