RUWASA WEKENI UTARATIBU MZURI KUWAUNGANISHIA WANANCHI MAJI MAJUMBANI-DKT. JAFO
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Mhe. Dkt Selemani Jafo ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara ameisitiza Wakala wa Maji Usafi wa Mazingira...
TCB KUSHIRIKIANA NA BUNGE LA TANZANIA KUWAINUA WAJASIRIAMALI NCHINI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania ( TCB ) Bw. Adam Mihayo akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
SERIKALI KUHUISHA ANWANI ZA MAKAZI MILIONI 12.3 NCHI NZIMA
Serikali imesema imekusanya taarifa za Anwani za Makazi Milioni 12.3 nchi nzima, zinazotakiwa kuhuishwa kila wakati ili ziendelee kuwa taarifa sahihi wakati wote kwa...
MBUNGE MATHAYO, MEYA GUMBO WAHAIDI KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WANANCHI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo na Meya wa manispaa ya Musoma Patrick Gumbo wameahidi kuzitafutia ufumbuzi kero mbalimbali za...
TBS WAFUNGUA MASHINDANO YA TUZO ZA UBORA KITAIFA AWAMU YA TANO 2024/2025
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limefungua mashindano ya tuzo za ubora kitaifa awamu ya tano kwa mwaka 2024/2025 ili kuweza kuwatambua na...
RC SENDIGA AAGIZA MIUNDOMBINU YA SHULE YA MANYARA ‘GIRLS’ KUKAMILISHWA
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo Agosti 14, 2024, ametembelea Shule ya mpya wasichana ya Manyara Girls na kuongea na wanafunzi...
MBUNGE AWATAKA WANAFUNZI KUFIKIA NDOTO ZAO
MBUNGE wa Vijana Ng'washi Kamani amewataka Wanafunzi wa kike kujitunza ili waweze kufikia malengo yao ya baadaye waliyojiwekea.
Wito huo ameutoa leo katika Shule ya...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA
Aahidi kuendeleza ushirikiano baina ya nchi hizo
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali za Tanzania na Cuba zitaendelea kushirikiana katika sekta za Elimu, Afya, Kilimo,...