MAMLAKA 21 KATI YA 85 ZINA MIUNDOMBINU YA MAJI TAKA.
Taarifa za Wizara ya Maji zinaonesha hadi Aprili, 2024 mtandao wa majitaka nchini ulikuwa kilometa 1455.93 ikilingalishwa na kilometa 1416.9 za Aprili, 2023, idadi...
BENKI YA TCB YAAHIDI KUIUNGA MKONO SERIKALI KWA KUWAWEZESHA WAKULIMA KUPITIA MIKOPO
.
Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. Dkt. Rais Samia Suluhu...
WAVUVI WA MUSOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI MIKOPO NAFUU YA DKT.SAMIA YA UVUVI WA VIZIMBA
Na Shomari Binda-Musoma
WAVUVI katika jimbo la Musoma vijijini wameishukuru serikali chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa mikopo nafuu kwaajili ya uvuvi wa vizimba.
Shukrani...
ROBBI ATOA SOMO UKATILI WA KISIASA KWA WANAWAKE KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Na Shomari Binda-Musoma
MJUMBE wa Baraza la Wanawake Tanzania ( UWT) Taifa kutoka mkoa wa Mara Robbi Samwelly amesema ni wakati umefika kwa wanawake kuacha...
DC SAME APONGEZA JITIHADA ZA MASHIRIKA YASIYOKUWA YA KISERIKALI KWA MCHANGO WAKE KWENYE JAMII...
Na Dickson Mnzava,
Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni ameyapongeza mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kwa mchango wake mkubwa Katika kuihudumia jamii.
DC Mgeni...
RC MTAMBI AONGOZA MAJADILIANO UELEKEO DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2025-2050
MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameongoza majadiliano yaliyohusisha wananchi na viongozi kuelekea maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2026-2050.
Akizungumza kwenye...
MCHUGAJI KISINZA ATOA PONGEZI KWA RAIS SAMIA
MCHUNGAJI wa Kanisa la Uzima Tele Mtume Samuel Kisinza ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake...
VISIGA SEKONDARI IFUNGULIWE MAPEMA TUWAPUNGUZIE WANAFUNZI UMBALI WA KUTEMBEA -DKT JAFO
Na Didas Olang, Kisarawe-Pwani
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Dkt Selemani Said Jafo ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa...