Sunday, December 22, 2024
Home 2024 August

Monthly Archives: August 2024

TMA YATOA UTABIRI MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU WA VULI MWEZI OCTOBA HADI DISEMBA,2024

0
Na Magrethy Katengu----Dar es salaam Mamlaka ya hali ya hewa TMA imesema kuanzia Octoba hadi Desemba 2024 Mvua za chini ya wastani wa katika maeneo...

TAWIDO YAWAOMBA WADAU MBALIMBALI KUUNGANISHA NGUVU ILI KUDHIBITI VITENDO VYA KIKATILI

0
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia wanawake, wasichana na watoto Tanzania Women Initiative for...

VIJANA WA FAMILIA MOJA WAFARIKI BAADA YA KUFUNIKWA NA MAWE MKOANI NJOMBE

0
Watu wawili wa familia moja Okoka Mkaleja (24) na Yusuph Mkaleja (21) wakazi wa halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wamefariki dunia baada...

WANANCHI 367 WAHAMA HIFADHI YA NGORONGORO

0
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro Muitikio wa wananchi wanaoishi katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuendelea kuhama kwa hiari umepamba moto ambapo leo tarehe 22 Agosti,...

WAZIRI CHANA AKABIDHIWA RASMI OFISI NA MHE. KAIRUKI

0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki...

TOENI ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UGONJWA WA MPOX;WAZIRI MHAGAMA

0
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amewataka wataalamu wa Afya nchini kuongeza kasi ya kutoa elimu ya ugonjwa wa Mpox ili wananchi wawe na...

MAELFU WAJITOKEZA MAZIKO YA SHEIKH WA WILAYA YA MUSOMA SELEMANI MUSA MAGOTI

0
Na Shomari Binda-Musoma MAELFU ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali wamejitokeza kwenye maziko ya Shekh wa Wilaya ya Musoma Selemani Musa Magoti. Miongoni mwa waliojitokeza kwenye maziko...

HIACE YAKAMATWA IKIWA NA DAWA ZA KULEVYA

0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limemkamata mtuhumiwa mmoja pamoja na Gari aina ya TOYOTA HIACE yenye namba za usajili T. 886 DCU akiwa...

MGORE ACHANGIA SARUJI, MAWE UJENZI NYUMBA YA KATIBU JUMUIYA YA WAZAZI MUSOMA MJINI

0
Na Shomari Binda-Musoma MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Mgore Miraji amechangia mifuko 20 ya saruji na "treep 10" za...

WAHUDUMU WA AFYA WATAKIWA KUTOA ELIMU KWA JAMII KUHUSU UGONJWA MPYA WA MPOX

0
WAHUDUMU wa Afya ngazi ya jamii wameaswa kutoa elimu kwa umma kufahamu namna ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa Mpox uliotangazwa hivi karibuni na...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma August 2024,
Karibu Tukuhudumie..