Thursday, September 19, 2024
Home 2024 August

Monthly Archives: August 2024

‘INSPEKTA’ MWAULAMBO ATOA UJUMBE KUZUIA UHALIFU KUPITIA MASHINDANO YA POLISI JAMII CUP MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma VIJANA wachezaji wametakiwa kuwa wa kwanza kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili jamii iweze kuishi salama na kushiriki shughuli za kiuchumi Ujumbe...

BARABARA ZA VIJIJINI KUFUNGUA RUANGWA – MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kufungua mtandao wa barabara za vijijini katika wilayaya Ruangwa ili ziweze kusaidia wananchi kusafirisha mazao yao. Waziri...

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KATIKA MSIBA WA MKE WA MNADHIMU MKUU WA...

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 24, 2024 amehani msiba wa Jokha Hassan Omary ambaye ni Mke wa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi...

TANESCO REA ZASHAURIWA KUNUNUA TRANSFORMA TANALEC, GENERAL TYRE KUFUFULIWA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo(Mb) ametoa rai kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kuongeza...

PICHA : TIGO YASHIRIKI SELOUS MARATHON MSIMU WA SITA 2024

0
Na Mwandishi Wetu. Kampuni ya Mawasiliano Nchini Tigo Tanzania imeshiriki Msimu wa Sita wa Mbio Maarufu za SELOUS MARATHON zilizofanyika Leo , Agosti , 24...

DC SAME AMEWATAKA WAWEKEZAJI WA MADIN YA GYPSUM (JASI) KUSHIRIKIANA NA ALMASHAURI

0
Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Kasilda Mgeni amewataka wawekezaji wa Madini ya Gypsum (JASI) Makanya kushirikiana na Halmashauri pamoja na...

WATANZANIA LINDENI VIWANDA VYA NDANI

0
Watanzania wametakiwa kuvilinda viwanda vya ndani ya nchi na kupenda kununua na kitumia bidhaa zinazotengenezwa na viwanda hivyo ili kuvilinda na kuviwezesha kuendelea na...

VIWANDA VISIVYOFANYA KAZI KUTAFUTIWA DAWA.

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb.) amesema Wizara yake kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji- Msajiri wa...

TAMASHA LA KIZIMKAZI : TCB YAAHIDI KUENDELEA KUWA MDAU MKUBWA WA MAENDELEO ZANZIBAR

0
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii,...

VIJANA MUSOMA WATAKIWA KUTUMIA MASHINDANO YA POLISI JAMII CUP KUZUIA UHALIFU

0
Na Shomari Binda-Musoma VIJANA wanaoshiriki mashindano ya Polisi Jamii Cup Wilaya ya Musoma wametakiwa kutumia mashindano hayo kuzuia uhalifu. Kupitia mashindano hayo wamekuwa wskipewa elimu kupitia...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma August 2024,
Karibu Tukuhudumie..