BUSARA NA HEKIMA ZA RAIS SAMIA ZIMEZIDI KIWANGO CHA KAWAIDA- RC MAKONDA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi mwenye...
TIBA ASILI KEMEENI VITENDO VYA UKATILI – RC MTANDA
Na WAF - MWANZA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Saidi Mtanda amewataka watoa huduma za afya kwa njia ya tiba asili nchini kushirikiana na...
RAIS SAMIA AREJEA JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameondoka Jijini Arusha kupitia uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA), kurejea Dar Es...
WAZEE WATAKIWA KUKEMEA VIJANA KUTOJIHUSISHA NA RUSHWA KIPINDI CHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Ashrack Miraji (Demokrasi) Kilimanjaro
Wazee Wilayani Same wametakiwa kukemea vijana wao kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kujiepusha na vitendo vya kupokea au kutoa rushwa...
MDAU WA MAENDELEO WILAYANI SAME ATOA NUKUU YA MAISHA KWA WANANCHI.
Na Dickson Mnzava, Same.
Simulizi: Ndoto yangu haikuwa Kweli.
Ndoto yangu ilikuwa ya kupaa juu, kufikia vilele vya mafanikio. Niliona maono yangu yakiwa hai, yakinifanya nijiangalie...
TUTAHAKIKISHA MAELEKEZO YA RAIS YANATEKELEZWA NGORONGORO- MHE. CHANA.
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha maelekezo ya Serikali yaliyotolewa hivi...
WAMILIKI WA SHULE WAIFURAHIA HUDUMA YA LIPA ADA , TIGO PESA WATANGAZA KUIFIKISHA MIKOANI
Na Adery Masta.
Agosti , 27 , 2024 Kampuni namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali Tigo Tanzania kwa kushirikiana na ZMOTION SOLUTIONS,...
WANANCHI KIJIJI CHA MUHOJI WAISHUKURU SERIKALI KUFIKIWA NA MRADI WA MAJI VISIMA VIREFU
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa Kijiji cha Muhoji Kata ya Bugwema Misoma vijijini wameishukuru serikali kufikiwa na mradi wa maji wa uchimbaji wa visima virefu.
Shukurani...
MBIVU NA MBICHI KUFAHAMIKA KESHO KAMA JE TAMISEMI ITAENDELEA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA...
Na Magrethy Katengu--- Dar es salaam
Wananchi watatu ambao Raia wa Kitanzaniania wamefungua kesi Mahakama Kuu Masijala ya Kanda ya Dar es Salaam dhidi ya...