YANGA TAWI LA MUSOMA WACHANGIA DAMU NA KUTOA MSAADA HOSPITALI YA MANISPAA YA MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
WANACHAMA na mashabiki wa timu ya Yanga kwa kushirikiana na benki ya NBC tawi la Musoma wamechangia damu na kutoa msaada kwenye...
UWEKEZAJI WA NYIHITA BUTIAMA WAMFURAHISHA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE
Na Shomari Binda-Butiama
KIONGOZI wa mbio za mwenge kitaifa Godfrey Mnzava amefurahishwa na kupongeza uwekezaji uliofanywa na mfanyabiashara mzawa Wilfredy Nyihita wilayani Butiama
Pongezi hizo amezitoa...
WAWILI WAUA NA KUJINYONGA MAGU
WATU wawili wilayani Magu Mkoani Mwanza wamejinyonga hadi kufa kutokana na mauaji waliyotenda kwa wenzao katika kipindi cha Mwezi Julai Mwaka huu.
Akitoa taarifa hiyo...
CRDB BANK MARATHON TABASAMU LIMEVUKA MIPAKA
Na Ritha Jacob - Mzawa Online DSM
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya CRDB Bank Foundation, Tullyesther Mwambapa, amepongeza jeshi la kusambaza tabasamu pamoja na washiriki...