WAUMINI WA KIBOKO YA WACHAWI WAJITOKEZA HADHARANI
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Siku kadhaa mara baada ya kufungwa Kanisa la Christian life(CLC) liloko Jijini Dar es salaam Temeke--Buza kwa Lulenge lililokuwa likiendeshwa...
NDARUKE AITAKA TARURA KIBITI KUPITIA UPYA MIKATABA NA WAKANDARASI
Kamati ya siasa ya CCM Wilaya ya Kibiti imetoa siku 9 kwa Wakala wa Barabara vijijini (TARURA) Wilaya ya Kibiti kurekebisha Barabara ya changarawe...
MANUSURA ACHAGULIWA TENA KWA KISHINDO
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela limefanya Uchaguzi na Kupata Naibu Mstahiki Meya Kwa Kipindi Cha Mwaka wa Fedha 2024/2025
Akizungumza Naibu...
“DIRA YA MAENDELEO YA 2050 IBEBWE NA VIJANA ZAIDI”- SPIKA DKT. TULIA ACKSON
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson ambaye pia ni Rais wa umoja wa Mabunge duniani, amewataka vijana kuchangamkia...
BENKI YA TCB NA ZEEA WASAINI MoU KUWAINUA WANAWAKE , VIJANA , NA WENYE...
Leo Agosti , 02 , 2024 Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) na Wakala wa serikali wa uwezeshaji wananchi kiuchumi zanzibar...
MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) YATOA RAI KWA WAKULIMA KUPATA ELIMU YA KODI
Na Monica Sibanda, Dodoma.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa wito kwa wakulima na wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye banda lao katika maonesho ya Nanenane...
RUWASA WATAKIWA KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI HARAKA NA KWA UBORA UNAOTAKIWA
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kibiti kimeagiza Wakala wa Maji vijijini RUWASA Wilaya ya Kibiti na Wakandarasi wanaojenga miradi ya maji kutekeleza miradi ya...
TANZANIA YAPATA USD BILIONI 2.3 KWA KUUZA MATUNDA, KUNDE NJE YA NCHI
TANZANIA imepata dola za Marekani Bilioni 2.32 kwa kuuza tani milioni 1.57 za mazao ya matunda na jamii ya kunde huko China, India, Marekani,...
WANACHAMA WA ‘MKUBA’ WATAKIWA KUTUMIA FEDHA KWA NIDHAMU
Na Boniface Gideon, MKINGA
Zaidi ya Wanufaika 4422 wa mfuko wa Kutunza Bahari 'MKUBA' unaodhaminiwa na Shirika la Maendeleo Nchini Norway 'NORAD',chini ya usimamizi wa...