KILIMO CHA BANGI NA MIRUNGI CHANZO CHA UHARIBIFU WA UOTO WA ASILI
Na Monica sibanda-Dodoma
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema kuwa moja ya madhara ya Kilimo cha bhangi na mirungi ni...
NIRC-SHERIA INAMSAIDIA MKULIMA KUONDOA CHANGAMOTO
Na Monica sibanda -Dodoma
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji(NIRC) imesema sheria ya umwagiliaji imetungwa ili kuondoa changamoto zilizokuwa zinazoikabili sekta ya umwagiliaji nchini.
Akizungumza leo Agosti...
BI. LILIAN MTALI ATUA TANZANIA COMMERCIAL BANK ( TCB ) KWA KISHINDO
Na Mwandishi Wetu.
Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara kwa wateja Wadogo na wa Kati, ...
BRELA:WAKULIMA JITOKEZENI KUSAJILI BIASHARA ZENU
Na Monica Sibanda - Mzawa Online Dodoma
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewataka wakulima kusajili nembo na alama za biashara zao ili...
VETA IMEJIPANGA KUMSAIDIA MKULIMA KULIMA KILIMO CHENYE TIJA KWA KUTUMIA BUNIFU.
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imesema kuwa imejipanga katika kuhakikisha Wakulima nchini wanalima Kilimo chenye tija kutokana na teknolojia mbalimbali...
MAANDALIZI YA TAMASHA LA USAMBARA TOURISM FESTIVAL YAIVA.
DC LUSHOTO AWAALIKA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE SEKTA MBALIMBALI NDANI YA WILAYA HIYO.
Na Ashrack miraji.
Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga Japhari kubecha ameyasema hayo...
KLABU ZA ROTARY NCHINI ZAENDESHA ZOEZI LA VIPIMO NA UCHUNGUZI WA KITABIBU BURE KWA...
KLABU za Rotary nchini Tanzania, kwa kushirikiana na Vilabu Vya Rotary Vya Oysterbay, Sunset, na Ukonga wameendesha zoezi la Siku ya Afya ya Familia...
WAKULIMA WATAKIWA KUKATA BIMA YA KILIMO ILI KULINDA MAZAO MAJANGA YANAPOTOKEA
Na Monica Sibanda
Mkurugenzi wa masoko na uhusiano Shirika la Bima la Taifa NIC Karimu Meshacki amewataka wakulima kukatia bima ya kilimo ili kulinda Mazao...
TTCL YATOA RAI KWA WAKULIMA KUTUMIA HUDUMA ZA MTANDAO KUBORESHA KILIMO
Na Monica Sibanda - Dodoma
Afisa uhusiano wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Esta Mbanguka, ametoa wito kwa wakulima wanaotembelea viwanja vya Nanenane na wakulima...