WAZIRI MAVUNDE NA MCHENGERWA KUKUTANA KUSHUGHULIKIA TOZO ZA HALMASHAURI KWENYE MADINI
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema Wizara ya Madini imekubaliana na Ofisi ya Rais TAMISEMI kukutana na kutatua changamoto ya tozo zinazowekwa na...
RC KUNENGE NA DC MAGOTI WAFURAHISHWA NA HUDUMA ZA TIGO MAONESHO YA NANE NANE...
Agosti 05, 2024 : Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ( kulia ) na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Petro Magoti...
SIMU JANJA KWA MKOPO KUTOKA TIGO FURSA KWA WADAU WA KILIMO , UVUVI NA...
Mary Michael Isaya Mkaazi wa Dodoma akipewa zawadi na Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya kati Said Iddi baada ya kununua Simu janja Aina ya...
FCC YAWATAKA WAKULIMA KUTUMIA PEMBEJEO ZENYE UBORA
Na Monica Sibanda-Dodoma
Mkurugenzi mkuu Tume ya Taifa ya Ushindani William Erio amewataka wakulima kuhakikisha wanatumia Pembejeo zenye ubora ili waweze kulima kwa faida na...
MBUNGE MATHAYO AENDELEA NA ZIARA KWENYE MATAWI NA KATA KUHAMASISHA UCHAGUZI
Na Shomari Binda-Musoma
Mbunge wa jimbo Musoma mjini Vedastus Mathayo ameendelea na ziara ya kukutana na viongozi wa CCM wa matawi na Kata kuhamasisha ushiriki...
TAKUKURU KINONDONI KUENDELEA NA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA
Na Magrethy Katengu- Dar es salaam
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Kinondoni imesem katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Aprili hadi Juni 2024...
WACHIMBAJI WAPEWA MBINU YA KUTOA UDONGO MIGODINI
WIZARA ya Madini kupitia Tume ya Madini kwa kushirikiana na kampuni ya Kidee Mining Ltd wanaendelea kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo na wa kati...
PROF.ASSAD AONGOZA KONGAMANO TATHMINI UJENZI HOSPITALI YA KIISLAMU MKOA TANGA
Na Boniface Gideon -TANGA
Aliyekuwa Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali,Profesa Mussa Assad leo ameongoza kongamano la tathmini ya ujenzi wa Hospitali ya...
TAKUKURU MARA YASAIDIA TRA KUKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 79 KWA MIEZI 3
Na Shomari Binda-Musoma
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU )mkoa wa Mara imesaidia Mamlaka ya Mapato ( TRA ) Mara kukusanya kiasi...