Friday, September 20, 2024
Home 2024 August

Monthly Archives: August 2024

MANUNG’UNIKO, MALALAMIKO YA WANANCHI DHIDI YA WACHIMBAJI WA MADINI YAISHE KABLA YA KIPINDI CHA...

0
Wachimbaji Madini Mkoa wa Dar es salaam na Mkoa Pwani  Wametakiwa kuhamasisha wanamaliza manung'uniko na malalamiko ya Wananchi dhidi yao kabla ya kipindi cha...

WAANDISHI WATAJWA KUWA NA NGUVU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA KWENYE UCHAGUZI

0
Na Shomari Binda-Musoma WAANDISHI wa Habari wametajwa kuwa na nguvu kubwa kwenye mapambano dhidi ya Rushwa kuelekea uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kauli hiyo...

WAZIRI DKT JAFO; ATOA MAELEKEZO KWA SIDO KUSHIRIKINA NA KILA MKOA UJENZI WA VIWANDA...

0
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Selemani Jafo ameliagiza Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kushirikiana na kila Mkoa katika...

WAONGOZA WATALII WAMETAKIWA KULINDA MAADILI YA KITANZANIA KWA WATALII WANAOFIKA KISIWANI MAFIA

0
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Abdul Kitungi amewataka Vijana waongoza Watalii wilayani Mafia kulinda maadili ya kitanzania katika kuwahudumia Watalii wanaofika kumtembelea...

BILIONI 25.4 KUTUMIKA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJI 374 JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

0
Na Shomari Bunda-Musoma KIASI cha shilingi bilioni 25.4 kimetengwa kwa shughuli ya usambazaji umeme.kwenye vitongoji 374 vilivyopo kwenye vijiji 68 vya jimbo la Musoma vijijini. Kauli...

RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUWAWEZESHA WAWEKEZAJI WA NDANI MAONESHO YA NANE NANE 2024

0
Na Adery Masta. Motisun Group Limited inayohusisha makampuni mbalimbali ikiwemo Kampuni namba moja nchini kwa Utengenezaji , Uuzaji na Usambazaji wa Bidhaa za Ujenzi ya...

TFS TOENI ELIMU YA UMUHIMU WA UPANDAJI MITI – NDARUKE

0
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kibiti mkoani Pwani Juma Ndaruke amewataka Wakala wa Misitu Tanzania - TFS kutoe elimu ya umuhimu wa upandaji miti...

MBUNGE MONNI AKABIDHI MADAWATI 200 SHULE ZA MSINGI CHEMBA

0
Katika kukabiliana na Changamoto ya upungufu wa madawati katika halmashauri ya wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma Mbunge wa Jimbo la Chemba Mohamed Monni amekabidhi...

MATUMIZI YA MKAA, KUNI DAR ES SALAAM TISHIO KWA MISITU KISARAWE, TaTEDO-SESO WATOA ELIMU...

0
Na Mwandishi Wetu  Afisa Misitu msaidizi wa Wilaya ya Kisarawe Bwana Waziri Mkumbwa amesema hali ya uvunaji wa misitu kwa ajili ya nishati ya mkaa...

BENKI YA TCB YAPEWA HESHIMA YA KUWA MDAU NAMBA MOJA KATIKA MRADI WA SGR.

0
Na Mwandishi Wetu. Benki ya Biashara Tanzania (TCB)  imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma August 2024,
Karibu Tukuhudumie..