VIJANA MUSOMA WATAKIWA KUTUMIA MASHINDANO YA POLISI JAMII CUP KUZUIA UHALIFU
Na Shomari Binda-Musoma
VIJANA wanaoshiriki mashindano ya Polisi Jamii Cup Wilaya ya Musoma wametakiwa kutumia mashindano hayo kuzuia uhalifu.
Kupitia mashindano hayo wamekuwa wskipewa elimu kupitia...
TMA YATOA UTABIRI MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU WA VULI MWEZI OCTOBA HADI DISEMBA,2024
Na Magrethy Katengu----Dar es salaam
Mamlaka ya hali ya hewa TMA imesema kuanzia Octoba hadi Desemba 2024 Mvua za chini ya wastani wa katika maeneo...
TAWIDO YAWAOMBA WADAU MBALIMBALI KUUNGANISHA NGUVU ILI KUDHIBITI VITENDO VYA KIKATILI
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia wanawake, wasichana na watoto Tanzania Women Initiative for...
VIJANA WA FAMILIA MOJA WAFARIKI BAADA YA KUFUNIKWA NA MAWE MKOANI NJOMBE
Watu wawili wa familia moja Okoka Mkaleja (24) na Yusuph Mkaleja (21) wakazi wa halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wamefariki dunia baada...
WANANCHI 367 WAHAMA HIFADHI YA NGORONGORO
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro
Muitikio wa wananchi wanaoishi katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuendelea kuhama kwa hiari umepamba moto ambapo leo tarehe 22 Agosti,...