WAVUVI WA MUSOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI MIKOPO NAFUU YA DKT.SAMIA YA UVUVI WA VIZIMBA
Na Shomari Binda-Musoma
WAVUVI katika jimbo la Musoma vijijini wameishukuru serikali chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa mikopo nafuu kwaajili ya uvuvi wa vizimba.
Shukrani...
ROBBI ATOA SOMO UKATILI WA KISIASA KWA WANAWAKE KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Na Shomari Binda-Musoma
MJUMBE wa Baraza la Wanawake Tanzania ( UWT) Taifa kutoka mkoa wa Mara Robbi Samwelly amesema ni wakati umefika kwa wanawake kuacha...
DC SAME APONGEZA JITIHADA ZA MASHIRIKA YASIYOKUWA YA KISERIKALI KWA MCHANGO WAKE KWENYE JAMII...
Na Dickson Mnzava,
Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni ameyapongeza mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kwa mchango wake mkubwa Katika kuihudumia jamii.
DC Mgeni...