Thursday, September 12, 2024
Home 2024 August 17

Daily Archives: August 17, 2024

TANZANIA NA CHINA WASAINI MAKUBALIANO YA BIASHARA YA ASALI

0
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam Tanzania na China zimesaini saini ya makubaliano ya biashara ya kuuza Asali ya Tanzania nchini China ikiwa ni fursa kukuza...

FAMILIA YAMUANGUKIA RAIS SAMIA AWASAIDIE KUREJESHEWA ARDHI WALIYOPORWA

0
Na Boniface Gideon -TANGA Familia ya Marehemu Bakari Kidawa wa Jijini Tanga imemumba Rais Samia kuingilia kati mgogoro wao wa shamba kati yao na Uongozi...

ASKARI KATA YA KISANGURA AMSHUKURU MGANGA MFAWIDHI HOSPITALI YA SERENGETI KUSAIDIA JAMII

0
Na Shomari Binda-Serengeti ASKARI poiisi Kata wa Kata ya Kisangura iliyopo wilayani Serengeti mkoani Mara Genuine Kimario amemshukuru mganga mfawidhi wa hospital ya wilaya hiyo...

TRC KUIMARISHA MIFUMO DHIDI YA UDANGANYIFU WA TIKETI

0
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam SHIRIKA la Reli Nchini (TRC) Limekiri kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu kwa baadhi ya abiria wa Treni ya umeme (SGR)...

JESHI LA POLISI MKOA WA MARA LAKAMATA WAHALIFU 357 KWA KIPINDI CHA MWEZI MMOJA

0
Na Shomari Binda-Musoma JESHI la polisi mkoani Mara linawashikilia watuhumiwa 357 waliokamatwa kwa tuhuma za makosa mbalimbali wakiwemo wanaojishughulisha na uvuvi haramu. Akizungumza na Waandishi wa...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma August 17, 2024,
Karibu Tukuhudumie..