MBUNGE MATHAYO AKABIDHI NG’OMBE,MIPIRA NA FEDHA MASHINDANO POLISI JAMII CUP MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo leo agosti 15 amekabidhi ng'ombe, mipira 16 na fedha kiasi cha shilingi laki 2...
“KILA MKOA KUANZISHA VIWANDA”- DKT JAFO
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb.) ameiagiza Mikoa yote Tanzania Bara kuanzisha viwanda ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Programu ya...
KAMATI YA SIASA ILALA YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA JIJI LA DSM.
Na Mariam Muhando _Dar es salaam.
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala imeridhishwa na Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya...
MASHIRIKA YANAYOJIHUSISHA NA KUTOA MISAADA KWA WATU WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI YAPONGEZWA
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ametoa pongeze kwa Mashirika yote yanayojihusisha na kufanya matendo ya huruma kuokoa...
TALGWU YAISHUKURU SERIKALI KULIPA WATUMISHI MISHAHARA YAO KUPITIA MFUKO WA HAZINA
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam
CHAMA cha Wafanyakazi wa serikali za mitaa Tanzania (TALGWU) kimeishukuru serikali ilivyoridhia ombi lao la muda mrefu kwa kuanza...
RUWASA WEKENI UTARATIBU MZURI KUWAUNGANISHIA WANANCHI MAJI MAJUMBANI-DKT. JAFO
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Mhe. Dkt Selemani Jafo ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara ameisitiza Wakala wa Maji Usafi wa Mazingira...
TCB KUSHIRIKIANA NA BUNGE LA TANZANIA KUWAINUA WAJASIRIAMALI NCHINI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania ( TCB ) Bw. Adam Mihayo akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...