JAFO AAGIZA UKAGUZI WA MAKAMPUNI YA KIGENI YALIYOUNGANA NA KAMPUNI ZA NDANI
Na Ritha Jacob - Dar es salaam
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Seleman Jafo, ameagiza Tume ya Ushindani (FCC) kufanya ukaguzi wa kampuni za...
HOSPITALI YA TEMEKE YAZINDUA KITUO CHA KUSAFISHIA DAMU NA MAGARI MAWILI PAMOJA NA VIFAA...
Na Magrethy Katengu- Dar es salaam
Wananchi wameendelea kuhimizwa kufanya Mazoezi kwa bidii na kupunguza hali ya ulaji wa vyakula usiofaa ili kusaidia kuepukana na...
MBUNGE MONNI ACHANGIA MIFUKO 100 YA SARUJI KIJIJI CHA HANDA
Mbunge wa Jimbo la Chemba (CCM) Mohamed Monni amekabidhi mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya umaliziaji Ofisi na uanzishwaji wa ujenzi wa Zahanati...
NYIHITA AWATAKA VIJANA WALIOPATA NAFASI ZA UONGOZI KUWA WAZALENDO NA WAAMINIFU
Na Shomari Binda-Musoma
MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM mkoa wa Mara Wilfred Nyihita amewataka vijana walio kwenye nafasi za...
TIGO WATOA ELIMU KWA WANAWAKE WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO KUHUSU MATUMIZI YA FEDHA KIDIGITALI
Afisa Mkuu wa Tigo Pesa Bi. Angelica Pesha ( aliyesimama ) akizungumza na baadhi ya wanawake wafanyabiashara na Wajasiriamali zaidi ya 35 wa Soko...