KLABU ZA ROTARY NCHINI ZAENDESHA ZOEZI LA VIPIMO NA UCHUNGUZI WA KITABIBU BURE KWA...
KLABU za Rotary nchini Tanzania, kwa kushirikiana na Vilabu Vya Rotary Vya Oysterbay, Sunset, na Ukonga wameendesha zoezi la Siku ya Afya ya Familia...
WAKULIMA WATAKIWA KUKATA BIMA YA KILIMO ILI KULINDA MAZAO MAJANGA YANAPOTOKEA
Na Monica Sibanda
Mkurugenzi wa masoko na uhusiano Shirika la Bima la Taifa NIC Karimu Meshacki amewataka wakulima kukatia bima ya kilimo ili kulinda Mazao...
TTCL YATOA RAI KWA WAKULIMA KUTUMIA HUDUMA ZA MTANDAO KUBORESHA KILIMO
Na Monica Sibanda - Dodoma
Afisa uhusiano wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Esta Mbanguka, ametoa wito kwa wakulima wanaotembelea viwanja vya Nanenane na wakulima...
WAUMINI WA KIBOKO YA WACHAWI WAJITOKEZA HADHARANI
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Siku kadhaa mara baada ya kufungwa Kanisa la Christian life(CLC) liloko Jijini Dar es salaam Temeke--Buza kwa Lulenge lililokuwa likiendeshwa...
NDARUKE AITAKA TARURA KIBITI KUPITIA UPYA MIKATABA NA WAKANDARASI
Kamati ya siasa ya CCM Wilaya ya Kibiti imetoa siku 9 kwa Wakala wa Barabara vijijini (TARURA) Wilaya ya Kibiti kurekebisha Barabara ya changarawe...
MANUSURA ACHAGULIWA TENA KWA KISHINDO
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela limefanya Uchaguzi na Kupata Naibu Mstahiki Meya Kwa Kipindi Cha Mwaka wa Fedha 2024/2025
Akizungumza Naibu...
“DIRA YA MAENDELEO YA 2050 IBEBWE NA VIJANA ZAIDI”- SPIKA DKT. TULIA ACKSON
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson ambaye pia ni Rais wa umoja wa Mabunge duniani, amewataka vijana kuchangamkia...