Saturday, December 21, 2024
Home 2024 August 1

Daily Archives: August 1, 2024

TANZANIA YAPATA USD BILIONI 2.3 KWA KUUZA MATUNDA, KUNDE NJE YA NCHI

0
TANZANIA imepata dola za Marekani Bilioni 2.32 kwa kuuza tani milioni 1.57 za mazao ya matunda na jamii ya kunde huko China, India, Marekani,...

WANACHAMA WA ‘MKUBA’ WATAKIWA KUTUMIA FEDHA KWA NIDHAMU

0
Na Boniface Gideon, MKINGA Zaidi ya Wanufaika 4422 wa mfuko wa Kutunza Bahari 'MKUBA' unaodhaminiwa na Shirika la Maendeleo Nchini Norway 'NORAD',chini ya usimamizi wa...

YANGA TAWI LA MUSOMA WACHANGIA DAMU NA KUTOA MSAADA HOSPITALI YA MANISPAA YA MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma WANACHAMA na mashabiki wa timu ya Yanga kwa kushirikiana na benki ya NBC tawi la Musoma wamechangia damu na kutoa msaada kwenye...

UWEKEZAJI WA NYIHITA BUTIAMA WAMFURAHISHA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE

0
Na Shomari Binda-Butiama KIONGOZI wa mbio za mwenge kitaifa Godfrey Mnzava amefurahishwa na kupongeza uwekezaji uliofanywa na mfanyabiashara mzawa Wilfredy Nyihita wilayani Butiama Pongezi hizo amezitoa...

WAWILI WAUA NA KUJINYONGA MAGU

0
WATU wawili wilayani Magu Mkoani Mwanza wamejinyonga hadi kufa kutokana na mauaji waliyotenda kwa wenzao katika kipindi cha Mwezi Julai Mwaka huu. Akitoa taarifa hiyo...

CRDB BANK MARATHON TABASAMU LIMEVUKA MIPAKA

0
Na Ritha Jacob - Mzawa Online DSM Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya CRDB Bank Foundation, Tullyesther Mwambapa, amepongeza jeshi la kusambaza tabasamu pamoja na washiriki...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma August 1, 2024,
Karibu Tukuhudumie..