USIPITWE NA NEEMA ZA KAMPENI YA ZIGO LA EURO CUP NA HISENSE , SOMA...
PICHA TOFAUTI TOFAUTI : Baadhi ya Washindi wa TV na Friji , Kampeni ya ZIGO la EURO CUP na Hisense ( wiki ya saba ) wakikabidhiwa zawadi...
MAFUNDI MOROGORO WAIPOKEA KIBOKO WALL PUTTY KWA KISHINDO , WASHUHUDIA MABORESHO YA RANGI ZA...
.
Baadhi ya Mafundi kutoka Morogoro Mjini na maeneo ya Karibu katika semina iliyoandaliwa na kampuni ya Utengenezaji , Uuzaji na Usambazaji wa Vifaa vya...
FDH WATAMBUA MCHANGO WA TANAPA KATIKA KUSAIDIA WATU WENYE ULEMAVU
Uongozi wa taasisi ya kusaidia watu wenye ulemavu "Foundation for Disabilities Hope (FDH) wamekabidhi tuzo ya Cheti cha pongezi kwa Shirika la Hifadhi za...
BASHE AWATAKA AGRF KUOANISHA MAENEO YA UWEKEZAJI SEKTA YA KILIMO
Na Mariam Muhando-Dar es salaam.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewataka wadau wa mifumo ya chakula Barani Afrika AGRF kuanza kuainisha maeneo muhimu ya uwekezaji...
KINANA AWASHAURI VIONGOZI CCM KUZINGATIA MAADILI.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Abdulrahman Kinana amewashauri viongozi wa CCM wa ngazi mbalimbali kuwa mfano bora wa maadili na malezi...
MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO AHAMASISHA ELIMU YA AFYA KWA WANANCHI WA KIJIJI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesisitiza umuhimu wa wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii kuwasaidia wananchi...
WANANCHI WAUSHUKURU MGODI KUKAMILISHA MRADI WA MAJI WA BILIONI 1.
Wakazi wa vijiji vya matongo,mjini kati pamoja na ya Matongo iliyopo Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kufuata...
SASA WAWEZA KUTUMA NA KUAGIZA MIZIGO BILA HOFU NA BIMA YA MIZIGO KUPITIA TIGO...
.
Bi. Angelica Pesha, Afisa Mkuu wa Tigo Pesa (Kushoto), Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Sanlam General Insurance, Geofrey Masige (Kulia), Mratibu wa Mradi wa...
TBS ONGEZENI NGUVU YA UTOAJI HUDUMA KWA WAFANYABIASHARA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo amelipongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa utendaji mzuri na kulitaka kuongeza nguvu katika utoaji...
WAZIRI JAFO AFANYA ZIARA TBS , AWAPONGEZA NA KUWATAKA WAYATEKELEZE HAYA
Na Mwandishi Wetu.
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo amelipongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa utendaji mzuri na kulitaka kuongeza nguvu...