ASILIMIA KUBWA YA WANAWAKE WANAMILIKI UCHUMI WA FAMILIA, WANAUME WAKUMBUSHWA WAJIBU WAO.
Imeelezwa kuwa asilimia kubwa ya wanaume katika maeneo mbalimbali Nchini hawana nafasi ya uongozi kwenye familia zao kwani nafasi hiyo imeshikiliwa na wanawake kwakuwa...
RAIS MWINYI ALIVYOTEMBELEA BANDA LA TIGO MAONESHO YA SABASABA
UGENI MZITO : Katika kuhitimisha maonesho ya 48 ya kimataifa ya biashara Kampuni ya Mtandao wa simu ya Tigo Tanzania imepata ugeni wa heshima katika...
RAIS SAMIA AWAHASA JAMII: WATOTO 15-19 WAPEWE NAFASI YA KUSOMA, SI KUZAA MAPEMA
Na Ritha Jacob - Katavi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wazazi kuwaacha watoto wenye umri wa miaka...
WAZIRI MHAGAMA ATAKA REA KUSAMBAZA UMEME KWA TAASISI ZA SERIKALI NA DINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jensita Mhagama ametaka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wanaweka mkakati mzuri...
BILIONI 2.2, BILI YA DIZELI YA MAJENERETA KILA MWEZI KUOKOLEWA – RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Julai 13,2024 amefanya ukaguzi wa kituo cha kupokea kupoza na kusafirisha Umeme...
ACHENI KUVAMIA MAENEO YA HIFADHI – RAIS SAMIA
Na Happiness Shayo - Katavi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuacha kuvunja sheria kwa kuvamia maeneo...
WANANCHI WAHIMIZWA KUNUNUA SIMU ZA TECNO
KATIBU Tawala wilaya ya Nyamagana Thomas Salala amezindua duka jipya la simu aina ya Tecno huku akitoa wito kwa watumiaji wa vitendea kazi hivyo...
KLABU ZA ROTARY NCHINI ZA PANDA MITI 1000 KUADHIMISHA MIAKA 100 YA ROTARY
KATIKA Kuadhimisha Miaka 100 ya Klabu za Rotary Duniani, Klabu za Rotary Tanzania zimesherehekea miaka hiyo kwa kupanda Miti ya Matunda Shule ya Msingi...
KIBOKO WALL PUTTY YAWAVUTIA MAFUNDI IFAKARA , WAPONGEZA MABORESHO RANGI ZA KIBOKO
Mmoja wa mafundi akiijaribu kwa kuipaka ubaoni KIBOKO WALL PUTTY mbele ya mafundi wenzake ili kushuhudia ubora na upekee wake
PICHA YA PAMOJA : Baadhi...
DKT. AYUBU RIOBA: VYOMBO VYA HABARI VYA AFRIKA SHIRIKIANENI NA KUBADILISHANA MAUDHUI
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkkt. Ayubu Rioba Chacha amevishauri vyombo vya habari vya Afrika kushirikiana...