ALICHOKIFANYA GABO KWA MAFUNDI UJENZI DODOMA , ATUA NA MZIGO WA KIBOKO WALL PUTTY...
Baadhi ya Mafundi Rangi wa Mkoa wa Dodoma katika semina iliyoandaliwa na kampuni ya Utengenezaji , Uuzaji na Usambazaji wa Vifaa vya Ujenzi nchini...
TAMASHA LA USAMBARA TOURISM FESTIVAL LASOGEZWA MBELE
Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga
Mkuu wa wilaya ya Lushoto,Mkoani Tanga,Jafar kubecha amewaomba radhi wananchi na wageni wote waliotarajia kuja kwenye tamasha la kitalii la...
ZIGO LA EURO CUP NA HISENSE LAWANUFAISHA WATANZANIA ZAIDI YA 40
PICHA YA PAMOJA : Baadhi ya Washindi wa Vifaa vya Hisense ( TV na Friji ) kampeni ya ZIGO LA EURO CUP na Hisense katika...
“WAZIR MKUU KASSIM MAJALIWA ATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KWENYE MATEMBEZI YA UTULIVU JULAI 20”
Na Ashrack Miraji
Taasisi isiyo ya kiserikali ya ''Utulivu'' kwa kushirikiana na wizara ya Utamaduni, Sanaa na michezo inatarajia kuendesha matembezi maalum ya Utulivu...
TUSAIDIANE KULINDA MIUNDOMBINU YA UMEME- MENEJA TANESCO MKOA WA PWANI
Meneja wa shirika la Umeme Tanzania TANESCO mkoa wa Pwani Eng. Cosmas Mkaka ametoa wito kwa baadhi ya Wananchi mkoa wa Pwani wanaojihusisha na...
WAZIRI MKUU AISHUKURU SERIKALI YA DENMARK, AAGANA NA BALOZI WAKE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameishukuru Serikali ya Denmark kwa misaada ambayo imekuwa ikiitoa kwenye miradi ya maendeleo nchini ambapo Krona milioni 1.95 (sh. bilioni...
MIKATABA MINNE YA UJENZI WA BARABARA YENYE THAMANI YA BILIONI 10.75 YASAINIWA DAR ES...
Na Magrethy Katengu - Dar es salaam
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imesaini mikataba minne ya miundombinu ya barabara yenye thamani ya bilioni...
TANESCO KUANZA KUFANYA MABORESHO YA LUKU MKOA WA PWANI NA DAR ES SALAAM
Na Magrethy Katengu, Dar es salaam
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kutakuwa na maboresho huduma zake katika mfumo wa Luku kwa wateja wake wa...
FEMATA WAOMBA BEI ELEKEZI YA TOZO KWA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI
Mwenyekiti wa bodi ya Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini nchini FEMATA Yusuph Kazi ameomba Wizara ya TAMISEMI iandae bei elekezi ya tozo kwa...
WAZIRI MKUU AZINDUA MITAMBO YA KISASA YA KURUSHIA MATANGAZO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 15, 2024 amekagua na kuzindua mitambo na vifaa vipya vya kurushia matangazo vya kampuni ya Azam Media Limited.
Vifaa...