LIPIA TIKETI YA SGR , BILI ZA MAJI , LUKU , KUTUMA PESA NA...
Na Adery Masta.
Watanzania wanatarajia kunufaika na huduma mpya ya kidijiti inayotolewa na Benki ya Biashara Tanzania (TCB) ambayo imetambulishwa kwa chapa ya Popote Account...
WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEIMARISHA NGUVUKAZI SEKTA YA AFYA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeimarisha nguvukazi kwenye sekta ya afya kwa kuongeza taasisi zinazotoa mafunzo ya afya na upatikanaji wa fursa za...
TAASISI YA BENJAMIN MKAPA IMEJIKITA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA RASILIMALI WATU”_ UMMY
Na WAF - Dar Es Salaam
Taasisi ya Benjamini Mkapa kwa kushirikiana na Serikali imejikita katika kutatua changamoto za rasilimali watu Sekta ya Afya kwa...
KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AIPONGEZA TAKUKURU MARA UANZISHAJI KLABU ZA WAPINGA RUSHWA
Na Shomari Binda- Musoma
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) mkoa wa Mara imetakiwa kuendelea kutoa elimu kwa wanafunzi juu ya madhara...
BMH YAPANDIKIZA ULOTO KWA MGONJWA WA SIKOSELI MWENYE KUNDI LA DAMU TOFAUTI NA MCHANGIAJI...
Kwa mara ya kwanza, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imefanya upandikizaji uloto kwa mgonjwa wa sikoseli ambaye anatofautiana kundi la damu na mchangiaji wake...
TAMASHA LA BATA MSITUNI KUFANYIKA KAZIMZUMBWI
Na Magrethy Katengu-Pwani
MKUU wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti atoa taarifa kuwa wanatarajiwa kuwa na Tamasha Kubwa la Kimataifa linalojulikana kama "BATA MSITUNI" litakalofanyika...
BASHUNGWA ABAINISHA HATUA ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA MKOA KAGERA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha hatua za utekelezaji wa miradi ya Sekta ya Ujenzi inayoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa...
MHE. ZUNGU MGENI RASMI MAHAFALI YA (9) CHUO CHA FURAHIKA
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam
Naibu Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano la Tanzania mbaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe...
MAFUNDI UJENZI WAASWA KUZIPENDA BIDHAA ZINAZOTENGENEZWA NCHINI , SEMINA YA KIBOKO PAINTS KAHAMA
Na Adery Masta.
Kampuni namba moja nchini kwa Utengenezaji , Uuzaji na Usambazaji wa Vifaa mbalimbali vya Ujenzi kama vile Mabati , Rangi n.k KIBOKO...