DC LUSHOTO ATWIKWA ZIGO LA DIWANI ANAYETUHUMIWA KUNYANYASA WANANCHI
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Magamba Kata ya Magamba wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga,Mahamudu Kikoti ameiomba serikali kuchukua hatua juu ya diwani anayedaiwa kunyanyaswa wananchi...
MGINI KUJA NA MIPANGO YA UWEZESHAJI WAANDISHI BAADA YA USHINDI ( MRPC)
Na Shomari Binda-Musoma
MWENYEKITI mpya wa klabu ya Waandishi wa Habari mkoa wa Mara ( MRPC) Mgini Jocob amesema moja ya mipango yake ni kuona...
VIJANA JITOKEZENI JULAI 6,2024 KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI FURSA UWANJA WA MKAPA
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam
Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa Jokate Mwegelo ametoa wito kwa vijana wote Nchini kujitokeza...
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO ZANZIBAR YAFANYA ZIARA KIVULINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashidi Abdallah, amesema wanaamini ziara yao ya mafunzo katika shirika...
SERIKALI KUIMARISHA HUDUMA ZA JAMII LINDI: MAJALIWA
Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 03, 2024 amezungumza na wakazi wa kijiji cha Mmawa kilichopo katika kata...
EQUITY BENKI WAJA NA FURSA YA MIKOPO KWA WAKULIMA NCHINI , MAKUBWA KUFANYIKA MAONESHO...
Na Adery Masta.
Benki ya Equity inajivunia kuendelea kuwa na mikakati thabiti kwa ajili ya wakulima Nchini kwa kutoa mikopo mbalimbali kama vile pembejeo ,...
SAKO KWA BAKO YATIKISA SABASABA , TIGO WAJA NA OFA KIBAO KWA WATEJA WAO...
Na Adery Masta.
Kampuni namba moja kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali nchini Tigo Tanzania , tayari ipo katika maonesho ya Kimataifa ya 48 ya...
TIGO WATOA ZAIDI YA MILIONI 351 KWA AJILI YA MATIBABU YA MACHO BURE
Na Adery Masta.
June , 30 , 2024 Kampuni namba moja kwa utoaji wa huduma za Kidigitali Nchini Tanzania Tigo , imetoa zaidi ya Milioni...
UTARATIBU MZIMA JINSI YA KUSHIRIKI KONGAMANO KUBWA LA UWEKEZAJI AFRIKA MASHARIKI ( EAIF )...
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanya biashara wanaofanya miamala ya kifedha kwa njia ya Kiteknolojia TAFINA ( Tanzania Fintech Association ) Bi. Cynthia Ponera ( katikati...