Thursday, September 19, 2024
Home 2024 July

Monthly Archives: July 2024

WAZIRI MAKAMBA AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI NCHI 15 ZA JUMUIYA ZA EAC

0
Na Mwandishi wetu -- Zanzibari Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb) ameongoza Mkutano wa faragha wa Mawaziri...

KATIBU NEC GAVU: VIJANA JITOKEZENI KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI

0
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam Vijana wameshauriwa kuanzia mwaka huu 2024 waache kulalamika hawapewi nafasi za uongozi wajitokeze kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali ili...

TCB YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA KUWEZESHA MIRADI YA KIMKAKATI IKIWEMO USHIRIKA

1
BENKI ya Biashara ya Taifa TCB imesema itaendelea kuunga mkono serikali katika miradi yake ya kimkakati kwa kuhakikisha wanagusa maisha ya watanzania katika kila...

ZIGO LA EURO CUP NA HISENSE : KIRAHISI WAJISHINDIA PESA NA BIDHAA ZA HISENSE

0
Balozi wa Hisense Aishi Manula akikabidhi TV na Friji kwa Mshindi waKampeni ya ZIGO la EURO CUP na Hisense ( wiki ya sita )...

TBS WATUMA UJUMBE KWA WAFANYABIASHARA , WATEKETEZA TANI 4.5 BIDHAA ZISIZOKIDHI MATAKWA YA VIWANGO

0
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), Kanda ya Mashariki limeteketeza bidhaa hafifu tani 4.5 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 90 mara baada ya...

KIBOKO WALL PUTTY YATAMBULISHWA RASMI KIGAMBONI , MAFUNDI WASHANGAZWA NA UBORA WA RANGI ZA...

0
PICHA YA PAMOJA : Baadhi ya Mafundi kutoka Kigamboni  Jijini Dar Es Salaam katika semina iliyoandaliwa na kampuni ya Utengenezaji , Uuzaji na Usambazaji...

RC MTAMBI APOKEA UANZISHWAJI WA TUZO ZA WAANDSHI WA HABARI MKOA WA MARA

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amesema amepokea wazo la uanzishwa wa tuzo kwa Waandishi wa Habari mkoa wa Mara. Wazo...

TAWA YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI MAONYESHO YA 48 YA KIMATAIFA SABASABA 2024

0
Na Mwandishi wetu -- Dar es Salaam. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar...

TIGO WATAMBULISHA SIMU JANJA YA ZTE A34 , BEI 650 KWA SIKU NA MB...

0
SIMU NI Tsh. 650 KWA SIKU : " Kwa mara ya kwanza Tanzania , Tigo kwa kushirikiana na ZTE Tanzania tunaileta kwenu simujanja ya ZTE A34...

DIT WATANGAZA FURSA KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE NA SITA BAADA YA BUNIFU...

0
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar Es Salaam ( DIT ) Prof. Ezekiel Amri ( aliyevaa koti ) akiziangalia baadhi ya Bidhaa za...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma July 2024,
Karibu Tukuhudumie..