WAKIMBIZA MWENGE WATAMANI KUJIFUNZA UTENDAJI KAZI KWA PROFESA MUHONGO
Na Shomari Binda-Musoma
WAKIMBIZA mwenge kitaifa wamesema wanatamani kujifunza mazuri yanayofanywa na mbunge wa jimbo la Musoma vijijini katika kutekeleza majukumu yake.
Kauli hiyo imetolewa na...
RAIS SAMIA AMUAPISHA KAMISHNA MKUU WA MAGEREZA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) Jeremiah Yoram...
TAKUKURU WATAKIWA KUWA WAKALI KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Na Shomari Binda-Musoma
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU ) wametakiwa kuwa wakali kudhibiti vitendo vya Rushwa kuelekea uchaguzi wa serikali za...
WANU AKABIDHI MIL. 10 KWA AJILI YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UWT RUFIJI
Mbunge viti maalumu Zanzibar na mke wa Mbunge wa Jimbo Rufiji/ Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa Wanu Hafidhi Amir vmetoa milioni 10 kwa Jumuhia...
“TUTAENDELEA KUTOA VIBALI VYA AJIRA KWA SEKTA YA AFYA KILA MWAKA”_ SSH
Na WAF - Dar Es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kutoa vibali vya ajira...
WANAFUNZI WA AFYA 25,390 WADAHILIWA KUPUNGUZA UHABA WA WATUMISHI
Na WAF - Dar Es Salaam
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeongeza udahili wa wanafunzi wa Taaluma za Afya ngazi ya kati, kutoka...
KATIBU BARAZA LA ARDHI AHUKUMIWA JELA KISA KUOMBA RUSHWA TSH. 20,000
News, Njombe.
Mahakama ya wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe imemhukumu katibu wa baraza la ardhi la kata ya Igwachanya Nuhu Richard Mgaya (28) kulipa faini...
WAZIRI UMMY AMUAGA BALOZI WA IRELAND, UK, CANADA
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu hapo jana Julai 30, 2024 amemshukuru na kumuaga Balozi wa Ireland Mhe. Mary O'Neil, Balozi wa UK Mhe....
DKT. BITEKO AWAKEMEA WATUMISHI WANAOWAKWAMISHA WAFANYABIASHARA
Na Mwandishi wetu-- Dar es salaam
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka watumishi Serikalini kufanya kazi kwa kuzingatia maadili...