MAFUNDI UJENZI WAASWA KUZIPENDA BIDHAA ZINAZOTENGENEZWA NCHINI , SEMINA YA KIBOKO PAINTS KAHAMA
Na Adery Masta.
Kampuni namba moja nchini kwa Utengenezaji , Uuzaji na Usambazaji wa Vifaa mbalimbali vya Ujenzi kama vile Mabati , Rangi n.k KIBOKO...
DKT. BITEKO MGENI RASMI UZINDUZI WA SERA YA TAIFA BIASHARA 2003 TOLEO LA 2023
Na Magrethy Katengu -Dar es salaam
Tanzania imefika , mauzo ya nje kwenye Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika yameongezeka kutoka shilingi trilioni 2.607...
SERIKALI HAIKUBALIANI NA HAITOKUBALIANA NA VITENDO VIOVU DHIDI YA WATOTO
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema kamwe haikubliani na haitakubaliana na vitendo vya kihalifu wanavyofanyiwa baadhi...
WANAWAKE KATA YA KITAJI WATAKIWA KUSHIKAMANA KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Na Shomari Binda-Musoma
WANAWAKE wa Kata ya Kitaji manispaa ya Musoma wametakiwa kushikamana na kupendana katika kuelekea uchaguzi wa mitaa.
Kauli hiyo imetolewa leo julai 28...
DAS SAME AWATAKA WANANCHI KUZINGATIA LISHE BORA,WASILE KUJAZA TUMBO
Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Katibu Tawala Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro,Upendo Wella amewataka wananchi kuzingatia ulaji wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi lishe vitakavyosaidia kuboresha afya...