Sunday, September 8, 2024
Home 2024 July 27

Daily Archives: July 27, 2024

PWANI YAPATIWA WAUGUZI 120 ILI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA WAUGUZI

0
MKOA wa Pwani umepatiwa Wauguzi 120 ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa kada hiyo. Hayo yamesemwa mjini Kibaha na Katibu Tawala Mipango na Uratibu...

WANAWAKE VIONGOZI VIJANA NCHINI WATAKIWA KUENZI KISWAHILI

0
Wanawake Viongozi vijana kutoka Tanzania watembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda wakati walipokwenda kwenye mkutano wa Wanawake Viongozi vijana wa Afrika uliofanyika Kampala Uganda...

MCHINJITA AKOSOA SERA ZA KILIMO ZA WAZIRI BASHE

0
Na Ritha Jacob - Ruvuma Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Issiaka Mchinjita, ametoa wito kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, kumtafutia wakala...

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEKUWA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MAFIA

0
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mafia imemuachia huru mshtakiwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Ndugu Kassim Ndumbo baada ya kukosekana ushahidi...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma July 27, 2024,
Karibu Tukuhudumie..