DKT. MAHERA AELEKEZA MABADILIKO KWA WARATIBU WA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA WALIOSHINDWA KUTOA TAKWIMU
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughurikia Afya Dkt. Charles Mahera amemuelekeza Mkurugenzi wa huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe...
TAMASHA LA UTALII LUSHOTO KUIBUA FURSA MPYA ZA AJIRA KWA WANANCHI
Na. Ashrack Miraji, Mzawa Online
Lushoto, Tanga
Tamasha la Utalii Wilayani Lushoto mkoani Tanga liitwalo USAMBALA TOURISM FESTIVAL linatarajiwa kufanyika mwezi Septemba mwaka huu ambapo Mkuu...
KADI ZA MPIGA KURA ZENYE JINA LA ZAMANI LA TUME NI HALALI
Kadi za mpiga kura zilizotolewa mwaka 2015 na 2020 ni halali na zitaendelea kutumika kwenye chaguzi kuu zijazo bila kujali mabadiliko ya jina la...
PROF. KITILA MKUMBO AAHIDI ARDHI YA KILIMO KWA BODABODA WA MABIBO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo akiwa ziarani katika Kata ya Mabibo...
PROF. KITILA AAHIDI BARABARA YA BINTI KAYENGA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI KUPITIA DMDP
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo akiwa ziarani katika Kata ya Mabibo...