“WAZIR MKUU KASSIM MAJALIWA ATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KWENYE MATEMBEZI YA UTULIVU JULAI 20”
Na Ashrack Miraji
Taasisi isiyo ya kiserikali ya ''Utulivu'' kwa kushirikiana na wizara ya Utamaduni, Sanaa na michezo inatarajia kuendesha matembezi maalum ya Utulivu...