TCB YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA KUWEZESHA MIRADI YA KIMKAKATI IKIWEMO USHIRIKA
BENKI ya Biashara ya Taifa TCB imesema itaendelea kuunga mkono serikali katika miradi yake ya kimkakati kwa kuhakikisha wanagusa maisha ya watanzania katika kila...
ZIGO LA EURO CUP NA HISENSE : KIRAHISI WAJISHINDIA PESA NA BIDHAA ZA HISENSE
Balozi wa Hisense Aishi Manula akikabidhi TV na Friji kwa Mshindi waKampeni ya ZIGO la EURO CUP na Hisense ( wiki ya sita )...
TBS WATUMA UJUMBE KWA WAFANYABIASHARA , WATEKETEZA TANI 4.5 BIDHAA ZISIZOKIDHI MATAKWA YA VIWANGO
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), Kanda ya Mashariki limeteketeza bidhaa hafifu tani 4.5 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 90 mara baada ya...
KIBOKO WALL PUTTY YATAMBULISHWA RASMI KIGAMBONI , MAFUNDI WASHANGAZWA NA UBORA WA RANGI ZA...
PICHA YA PAMOJA : Baadhi ya Mafundi kutoka Kigamboni Jijini Dar Es Salaam katika semina iliyoandaliwa na kampuni ya Utengenezaji , Uuzaji na Usambazaji...
RC MTAMBI APOKEA UANZISHWAJI WA TUZO ZA WAANDSHI WA HABARI MKOA WA MARA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amesema amepokea wazo la uanzishwa wa tuzo kwa Waandishi wa Habari mkoa wa Mara.
Wazo...
TAWA YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI MAONYESHO YA 48 YA KIMATAIFA SABASABA 2024
Na Mwandishi wetu -- Dar es Salaam.
MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar...