Friday, September 20, 2024
Home 2024 June

Monthly Archives: June 2024

AFISA MTENDAJI KATA IWINDI NA WENZAKE WATIWA HATIANI

0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewahukumu Afisa Mtendaji wa Kata ya Iwindi na wenzake 2 kulipa faini ya Shilingi 500,000/= kila mmoja au kwenda...

WATUMISHI 10 WA HALMASHAURI YA SENGEREMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA MAPATO

0
Juni 3, 2024 Watumishi 10 wa nafasi na kada mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Sengerama wamefikishwa Mahakamani kwa Makosa ya Matumizi mabaya ya...

ACT-WAZALENDO YAPINGA KAULI YA MKURUGENZI WA TUME HURU YA UCHAGUZI

0
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kauli ya Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Dk. Ramadhan Kailima ya kuhalalisha Ofisi ya Rais...

WAAGIZAJI WAMAFUTA NCHINI WAONDOLEWA HOFU – TPA

0
Waagizaji wamafuta nchini wameondolewa hofu kuwa ukarabati utakaofanyika katika boya la kushushia mafuta ya nishati aina ya dizel baharini kupitia bomba la TAZAMA kwamba...

VIJANA KUWENI WAANGALIFU UHARIBIFU WA KIDUNIA UMEELEKEZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

0
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam NAIBU Katibu Mkuu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mchungaji Wilbroad Mastai, amewashauri...

RC ROSEMARY SENYAMULE AKUTANA NA WAWAKILISHI WA CHAMA CHA WANAWAKE MADEREVA NCHINI JIJINI...

0
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ametembelewa na ugeni kutoka Chama cha Wanawake Madereva Tanzania (CWMT) wenye lengo la kujitambulisha na kuomba...

TGNP WAJADILI NA KUTATHIMINI BAJETI NA MPANGO WA SERIKALI KATIKA JICHO LA KIJINSIA

0
Kwa takribani miaka nane (08) sasa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umekuwa na kawaida ya kuwa na majukwaa mbalimbali ikiwemo jukwaa lijulikanalo kwa jina...

TUNAWASAIDIA WAWEKEZAJI WAZAWA KUWA MAHIRI-WAZIRI MKUU

0
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuwajengea uwezo Watanzania wanaojishughulisha na masuala ya uwekezaji na kuweka mazingira wezeshi ili kuwasaidia wawe mahiri. Amesema kuwa...

TUNAOMBA ULINZI  KUELEKEA CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA NA UCHAGUZI MKUU NCHINI. – MOLLEL

0
WATU  wenye Ulemavu  wa Ngozi Ualbino nchini  wameiomba serikali  kuwawekea mazingira ya usalama wao  katika kuelekea  kipindi cha  Uchaguzi  wa Serikali za mitaa  utakaofanyika ...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 2024,
Karibu Tukuhudumie..