Thursday, September 19, 2024
Home 2024 June

Monthly Archives: June 2024

CCM Z’BAR KUWASILISHA PENDEKEZO LA DK.MWINYI KUONGOZA NCHI KWA MIAKA 7

0
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amesema Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya NEC CCM Taifa Zanzibar  wamepitisha pendekezo la...

MADAKTARI BINGWA WA RAIS DKT.SAMIA KUANZA KUTOA MATIBABU MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma MADAKTARI bingwa wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan wataanza kutoa huduma za matibabu ya kibingwa kwenye hospital ya manispaa ya Musoma kuanzia kesho...

BARUTI NI HATARI USIHIFADHI KWENYE JOTO, MOTO UMEME AU MOTO WA GASI

0
Baruti haitakiwi kuhifadhiwa kwenye makazi ya watu kwasababu inaweza kulipuka kwa moto, joto, tayari moto wa gesi au umeme. Hayo yamesemwa na Mhandisi Mgodi wa...

QWIHAYA AWATAKA WANA CCM KUCHANGIA MAENDELEO YA CHAMA

0
Na Neema Kandoro Mwanza MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), TaifaLeonard Qwihaya amewaomba wakereketwa na wapenzi wa Chama hicho kujitolea katika kukijenga...

TAASISI ZA UMMA ZITUMIE MIFUMO YA KIDIJITALI – WAZIRI MKUU

0
*Azindua mifumo minne ya kidijiti Serikalini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma ziweke mipango madhubuti ya kutumia mifumo ya kidijitali ambayo italeta mageuzi...

DAVID MATHAYO AWATAKA VIJANA KUTUMIA SOKA KWA MAENDELEO

0
Ashrack Miraji Same Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Dkt. David Mathayo amewataka vijana wilayani humo kutumia fursa ya michezo kuendeleza ushirikiano kwa ajili ya...

MUIGIZAJI GABO ZIGAMBA ALAMBA DILI NONO KIBOKO PAINTS , SOMA HAPA MAAJABU YA KIBOKO...

0
Baadhi ya Mafundi kutoka maeneo ya Buguruni Jijini Dar Es Salaam katika semina iliyoandaliwa na kampuni ya Uuzaji wa Vifaa vya Ujenzi nchini ya...

WACHIMBAJI WA MADINI TUMIENI MAKONGAMANO NA MIKUTANO YA WIKI YA MADINI 2024 KUISHAURI SERIKALI...

0
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania FEMATA John Bina amewataka wachimbaji wadogo nchini kuacha kuilalamikia Serikali' badala yake waishauri kuhusu wanachokitaka...

HABARI NJEMA KWA WAPENZI WA SOKA : HII HAPA FURSA YA KUSHUHUDIA EURO CUP...

0
William Mshery Mkazi wa Dar es Salaam ( Kushoto ) ambaye ni mshindi wa tiketi ( Wiki ya Nne ) Kampeni ya ZIGO la...

MBUNGE GHATI CHOMETE AWATAKA WANAWAKE KUJITOKEZA KUGOMBEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Mara, Ghati Chomete amewahimiza wanawake kujitokeza kugombea nafasi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadae...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 2024,
Karibu Tukuhudumie..