Sunday, September 15, 2024
Home 2024 June

Monthly Archives: June 2024

KAMANDA MUTAFUNGWA AWATOA HOFU WANAOFUNGUA MADUKA YAO MWANZA

0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea kuwahakikishia hali ya usalama wafanyabiashara waliofungua maduka yao na kuendelea na kazi kwa kuongeza doria mtaani. Mapema hii...

NCHI ZA AFCFTA ZASHAURIWA KUBORESHA MIUNDOMBINU, MAZINGIRA YA BIASHARA NA USHIRIKIANO WA KIKANDA.

0
Na Suzan Mshakangoto na Joseph Nelson Makamu wa Pili wa Rais, wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amezishauri Nchi wanachama wa...

TANESCO YATANGAZA KUANZA RASMI KWA MABORESHO YA MFUMO WA LUKU KATIKA MIKOA YA KANDA...

0
Na. Agnes Njaala, Rukwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuanza rasmi kwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU ambapo sasa ni zamu ya...

MRADI WA SLR WATENGA BILIONI 1.091 KUTEKELEZA SHUGHULI ZA MIRADI YA KIJAMII NA KIUCHUMI...

0
Ofisi ya Makamu wa Rais kupitia Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai (SLR) katika mwaka 2024 umetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 1.091...

SERIKALI YASITISHA ZOEZI LA UKAGUZI WA RISITI ZA EFD KARIAKOO

0
SERIKALI imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD) na ritani za kodi za Ongezeko la Thamani (VAT), iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya...

HATUTARUHUSU GARI LISILIKUWA NA UBORA KUBEBA WANAFUNZI; MUTAFUNGWA

0
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limezindua kampeni ya wiki moja ya ukaguzi wa magari yanayotoa huduma za usafirishaji wa wanafunzi katika shule za Umma...

TAASISI ZA UWEKEZAJI ZATAKIWA KUJITANGAZA

0
NA: JOSEPHINE MAJULA, WF, TABORA Taasisi za Uwekezaji nchini zimetakiwa kuongeza wigo wa kujitangaza na kuwaelimisha wananchi kuhusu huduma wanazotoa ili kuongeza Wawekezaji na kuiongezea...

AIR FRANCE WAUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKALI , WAANZISHA SAFARI ZA PARIS – KILIMANJARO

0
Na Adery Masta. Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie Madarakani serikali yake imefanya Jitihada kubwa kuchochea maendeleo ya...

WANANCHI MARA WATAKIWA KUTUMIA FURSA UJIO WA MADAKTARI BINGWA 45 WA DKT.SAMIA

0
Na Shomari Binda-Musoma WANANCHI kutoka halmashauri 9 za mkoa wa Mara wametakiwa kutumia fursa za ujio wa madaktari bingwa 45 wa Rais Dkt.Samia kupata matibabu. Kauli...

DKT.DIMWA: AAGIZA WATENDAJI NA VIONGOZI KURATIBU KERO ZA WANANCHI.

0
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar  Dkt.Mohamed Said Dimwa,amewataka Viongozi na Watendaji wa CCM kuanzia ngazi za Mashina hadi Mikoa...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 2024,
Karibu Tukuhudumie..