Monday, September 16, 2024
Home 2024 June

Monthly Archives: June 2024

ZIGO LA EURO NA Hisense , KUANZA SAFARI YA UJERUMANI KESHO, SOMA HAPA KUWA...

0
 . Aileen Kokushibila Tinka Mkazi wa Dar es Salaam ( Kulia ) ambaye ni mshindi wa tiketi ( Wiki ya Tano ) Kampeni ya ZIGO...

HELSB YAZINDUA KAMPENI YA “FICHUA KUWA HERO WA MADOGO”

0
Na Magrethy Katengu - Dar es Salaam Bodi ya Mikopo Tanzania (HELSB) imezindua kampeni inayoitwa "Fichua Kuwa Hero wa Madogo", ambapo imeomba wananchi kuwafichua wanufaika...

BILIONI 346 KUIMARISHA USALAMA WA MILKI ZA ARDHI – MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imesaini mkataba wa sh. bilioni 346 na Benki ya Dunia kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji...

WANANCHI SERENGETI WAPAZA SAUTI KUMSHUKURU RAIS SAMIA UJIO WA MADAKTARI BINGWA

0
Na Shomari Binda-Serengeti WANANCHI wilayani Serengeti mkoani Mara wamepaza sauti ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwapelekea madaktari bingwa wa kuwatibu. Wakizungumza kwenye hospital ya...

MWAMBAO, NORAD WAUNGA MKONO JITIHADA ZA KUZUIA UVUVI HARAMU MKINGA

0
Na Boniface Gideon -MKINGA Shirika la Mwambao Coastal Community Network Tanzania, chini ya ufadhili wa NORAD wamekabidhi Boti ya kisasa kwa ajili ya kufanya doria...

BENKI YA TCB YATANGAZA FAIDA YA SH. BILIONI 19.27

0
Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM  Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla...

QWIHAYA AHITIMISHA ZIARA YA NYAMAGANA KWA KUCHANGIA MIFUKO 720 YA SARUJI

0
Na Neema Kandoro, Mwanza Leo tarehe 27/6/2024, Leonard Qwihaya, ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) maarufu kama Manguzo, amehitimisha ziara...

WAZIRI MKUU AZINDUA VITABU VYA HISTORIA YA BUNGE

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua vitabu vya historia ya Bunge ambavyo vitasaidia kuhamasisha tafiti na kujua zaidi kuhusu mchango wa Bunge katika maendeleo ya...

KUBORESHA MPAKA KATI YA ZAMBIA NA TANZANIA KUDHIBITI UTOROSHWAJI WA BIDHAA

0
Na Chedaiwe Msuya, Dodoma Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), amesema katika jitihada za kudhibiti utoroshwaji wa mazao na bidhaa nchini, Serikali...

WEKENI BEI NAFUU YA GESI KWA WANANCHI – DKT. MWINYI

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameyaomba makampuni ya gesi kutafuta namna ya kuwezesha kupatikana gesi...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 2024,
Karibu Tukuhudumie..