Thursday, September 19, 2024
Home 2024 June

Monthly Archives: June 2024

MAMA MKWE ANUSURIKA KUUAWA NA MKWEWE

0
Kijana James Mwala alikuwa hana budi kumpeleka mama yake mzazi katika kituo cha kutibu waraibu wa dawa za kulevya baada ya mkewe Jesca Mwala...

WAZIRI ULEGA ACHANGIA UJENZI WA UKUMBI WA CCM MKOA WA PWANI BOKSI 200 ZA...

0
Na Scolastica Msewa, Kibaha.Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga amemaliza ahadi yake aliyoitoa Kwa Chama...

KARIBU KILI FAIR 2024 KUCHOCHEA UTALII WA ARUSHA – RC MAKONDA

0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda amesema maonesho ya Karibu Kili Fair 2024 yanayotarajiwa kuanza Juni 7 Mwaka huu yatachochea na kusisimua...

KUELEKEA SIKU YA CHAKULA SALAMA DUNIANI JUNI , 07 TBS WAFUNGUKA HAYA USIYOYAJUA

0
Na Mwandishi Wetu.  Katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama Duniani, Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wananchi kuhakikisha chakula kinakuwa salama kabla ya...

TIGO WATAMBULISHA ” Energizer U652S yenye 4G ” SIMUJANJA MPYA SOKONI

0
Daniel Nnko ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Ukuzaji wa Masoko - Tigo (kushoto) akipata maelezo kuhusu simu janja ya  Energizer U652S yenye 4G kutoka kwa Afisa...

SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKATILI KWA WAZEE KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MARA

0
Na Shomari Binda-Bunda Katika kuadhimisha siku ya kupinga ukatili dhidi ya wazee kimataifa juni 15, 2024, kitaifa yatafanyika katika mkoa wa Mara ambapo kabla ya...

WAJASIRIAMALI WADOGO WAPATA ELIMU YA FEDHA SUMBAWANGA

0
Na. Eva Ngowi,  Rukwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha itaendelea kuwashauri wananchi kwa ujumla kushiriki kwa wingi katika semina zinazoendelea kutolewa kuhusiana na elimu ya...

DKT. NCHEMBA ALIOMBA BUNGE KUHIDHINISHIA WIZARA YAKE  BAJETI YA TRILIONI 44.19

0
Na Benny Mwaipaja, WF-Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuiidhinishia Wizara yake makadirio ya...

WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI

0
Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe...

NSSF WAIPIGIA CHAPUO HUDUMA MPYA YA NSSF TAARIFA

0
Na Boniface Gideon -TANGA MFUKO wa Taifa wa Hifadhi za Jamii nchini (NSSF) wameshiriki maonyesho ya 11 hya Biashara na Utalii yanayoendelea kwenye viwanja vya...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 2024,
Karibu Tukuhudumie..