Friday, September 20, 2024
Home 2024 June

Monthly Archives: June 2024

WAZIRI WA UTALII ZANZIBAR AWANONG’ONEZA JAMBO TIGO , MAONESHO YA UTALII KILI FAIR 2024

0
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) akimuelezea jambo, Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Bw. Daniel...

BOUGAINVILLEA YAWAITA WATANZANIA KUTEMBELEA UTALII WA NDANI.

0
Na Boniface Gideon -ARUSHA Kampuni ya Utalii kupitia huduma za kulala ya Bougainvillea group of lodges imewaomba wa Watanzania kufanya Utalii wa ndani,Mkurugenzi wa kampuni...

DKT. MPANGO; DIRA 2050 NI MUHIMU ITAMBUE MAHITAJI YA VIJANA NA KUBEBA MATAMANIO YAO

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Dira 2050 ni muhimu itambue mahitaji ya vijana na kubeba ...

TBS NA WADAU WAFANYA MDAHALO , MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA SALAMA DUNIANI 2024

0
. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeadhimisha Siku ya Chakula Salama Duniani kwa kuendelea kusisitiza ulaji wa chakula salama kwa wananchi ili kuondokana na madhara...

WATUHUMIWA 16 MBARONI KUHUSIKA NA VITENDO VYA KIHALIFU

0
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 16 kuhusika na vitendo vya kihalifu ikiwemo...

SOMA HAPA … ZIGO LA EURO CUP NA HISENSE , WENGINE TENA WAPEWA TV...

0
Emmanuel Mlonjela - Mhandisi Mkazi wa Dar es Salaam ( Kushoto ) ambaye ni mshindi wa tiketi ( Wiki ya Pili ) Kampeni ya ZIGO...

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAIOMBA SERIKALI TOZO ZOTE ZA MIZIGO KUISHIA BANDARINI

0
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam JUMUIYA ya wafanyabiashara Kariakoo wamemuomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kushughulikia...

MWANAMKE MJAMZITO AFUMANIWA NA MUMEWE NYUMBA YA WAGENI

0
Naitwa Michael, wakati namwambia Baba nataka niondoke nyumbani niingie mtaani kupambana hakutaka kunielewa maana alikuwa anasema nitaishia kwenye uhuni na mwisho wa siku matatizo...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma June 2024,
Karibu Tukuhudumie..