BENKI YA TCB YATANGAZA FAIDA YA SH. BILIONI 19.27
Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla...
QWIHAYA AHITIMISHA ZIARA YA NYAMAGANA KWA KUCHANGIA MIFUKO 720 YA SARUJI
Na Neema Kandoro, Mwanza
Leo tarehe 27/6/2024, Leonard Qwihaya, ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) maarufu kama Manguzo, amehitimisha ziara...
WAZIRI MKUU AZINDUA VITABU VYA HISTORIA YA BUNGE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua vitabu vya historia ya Bunge ambavyo vitasaidia kuhamasisha tafiti na kujua zaidi kuhusu mchango wa Bunge katika maendeleo ya...
KUBORESHA MPAKA KATI YA ZAMBIA NA TANZANIA KUDHIBITI UTOROSHWAJI WA BIDHAA
Na Chedaiwe Msuya, Dodoma
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), amesema katika jitihada za kudhibiti utoroshwaji wa mazao na bidhaa nchini, Serikali...
WEKENI BEI NAFUU YA GESI KWA WANANCHI – DKT. MWINYI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameyaomba makampuni ya gesi kutafuta namna ya kuwezesha kupatikana gesi...