SERIKALI YASITISHA ZOEZI LA UKAGUZI WA RISITI ZA EFD KARIAKOO
SERIKALI imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD) na ritani za kodi za Ongezeko la Thamani (VAT), iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya...
HATUTARUHUSU GARI LISILIKUWA NA UBORA KUBEBA WANAFUNZI; MUTAFUNGWA
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limezindua kampeni ya wiki moja ya ukaguzi wa magari yanayotoa huduma za usafirishaji wa wanafunzi katika shule za Umma...
TAASISI ZA UWEKEZAJI ZATAKIWA KUJITANGAZA
NA: JOSEPHINE MAJULA, WF, TABORA
Taasisi za Uwekezaji nchini zimetakiwa kuongeza wigo wa kujitangaza na kuwaelimisha wananchi kuhusu huduma wanazotoa ili kuongeza Wawekezaji na kuiongezea...
AIR FRANCE WAUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKALI , WAANZISHA SAFARI ZA PARIS – KILIMANJARO
Na Adery Masta.
Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie Madarakani serikali yake imefanya Jitihada kubwa kuchochea maendeleo ya...
WANANCHI MARA WATAKIWA KUTUMIA FURSA UJIO WA MADAKTARI BINGWA 45 WA DKT.SAMIA
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI kutoka halmashauri 9 za mkoa wa Mara wametakiwa kutumia fursa za ujio wa madaktari bingwa 45 wa Rais Dkt.Samia kupata matibabu.
Kauli...